Psalms 76:1

Mungu Wa Israeli Ni Mhukumu Wa Dunia Yote

Kwa mwimbishaji. Kwa ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Asafu. Wimbo.

1 aKatika Yuda, Mungu anajulikana,
jina lake ni kuu katika Israeli.
Copyright information for SwhNEN